Posts

Showing posts from September, 2021

Mwanamke Mmoja Regina Frednand (46) Mkazi Wa Mtaa wa Butiama kata ya sima kata ya Halmashauli ya mji Wa Bariadi amezua taharuki Baada ya kudai kuwa amejifungua Mnyama aina ya kalunguyeye DOFU MEDIA.COM Video Hii Hapa Tazama Maajabu

Image
AJABU LA DUNIA MAMA  AJIFUNGUA KALUNGUYEYE NIMESIKIA UCHUNGU KIMETOKA NA DAMU KAMA UZAZI ULIVYO     Mwanamke Mmoja Regina Frednand (46) Mkazi Wa Mtaa wa Butiama kata ya sima kata ya Halmashauli ya mji Wa Bariadi amezua taharuki Baada ya kudai kuwa amejifungua Mnyama aina ya kalunguyeye          

Ukweli wa Mrembo anayetafuta mume mtaani

Image
Together Tunawakilisha Ukweli wa Mrembo anayetafuta mume mtaani  ALHAMISI , 16TH SEP , 2021 NA MWANDISHI WETU   Mrembo Baby Nai kutoka Buza Temeke amesema anatufuta mume wa maisha wa kumuoa mwenye miaka 20 hadi 70 na kigezo chake anataka awe mstaarabu na mcha mungu. Picha ya Baby Nai akiwa na bango lake la kutafuta mume mtaani Baby Nai ameongeza kusema hii ni siku ya tano kutembea na bango la kutafuta mume mtaani pia haoni shida ya kutembea na bango hilo kwa sababu havunji sheria za nchi. Mwisho amemaliza kusema akikosa mume anayemtaka Dar es Salaam ataenda Arusha, Mwanza na Mbeya na akikosa hapo ataenda nchini Kenya na Uganda. Zaidi mtazame hapo chini kwenye video.                                      

MJAMZITO AJIFUNGUA KALUNGUYEYE SIMIYU

Image
.                            MJAMZITO AJIFUNGUA KALUNGUYEYE SIMIYU DAKIKA 60 ZILIZOPITA KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja, Regina Frednand (46) mkazi wa Mtaa wa Butiama Kata ya Sima katika Halmashuari ya Mji wa Bariadi amezua taharuki baada ya kudai kuwa amejifungua mnyama aina ya Kalunguyeye.   Jambo hilo limezua hofu na taharuki kubwa kwa wakazi wa mji wa Bariadi, baada ya mama huyo kudai kuwa amejifungua mnyama huyo badala ya binadamu kama ambAvyo imezoeleka.   Akiongea na waandishi wa habari waliofika nyumbani kwake na kukuta umati wa watu ambao walifika kushuhudia tukio hilo, mama huyo amesema kuwa tukio hilo lilitokea Jumapili ya Septemba 12, 2021.   Regina amesema kuwa, majira ya saa 1:10 asubuhi wakati akijiandaa kwenda kwenye ibada ya kwanza kanisani, ghafla alijisikia maumivu makali tumboni na ndipo akaelekea chooni kujisaidia haja ya kawaida.   “Baada ya kufika chooni huku nikiwa na maumivu makali, haja ambayo nilikuwa nikisia haikutoka… cha kushangaza nilisiki