Posts

Showing posts from August 11, 2021

ZaidiKitaifa VIDEO: DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao

Image
  Mwananchi Habari Zaidi Kitaifa VIDEO: DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao WEDNESDAY AUGUST 11 2021           Mkuu wa wilaya Handeni, Siriel Mchembe Summary Imeelezwa kwamba sababu inayowafanya wanaume hao kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha nyingine zinatokana na imani za kishirikina. ADVERTISEMENT By Rajabu Athumani More by this Author Handeni.  Wanawake wanaonyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga, wamemuomba Mkuu wa wilaya hiyo, Siriel Mchembe kuwasaidia kupaza sauti na kukemea wanaume wao kuacha tabia ya kuwanyonya maziwa kwasababu wanawafanya watoto wasipate maziwa ya kutosha. Ombi hilo wamelitoa leo Jumanne Agosti 10, 2021 kwa Mchembe kwenye maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji yaliyofanyika katika mji mdogo wa Mkata na kusema ana taarifa kuwa baadhi ya wanaume wamekuwa na tabia hiyo wakihusishwa na imani za kishirikina. "Niwashauri wale wanaume mnaonyonya maziwa ya wake zenu muache,mnatumia chakula cha watoto wenu na hiyo inasababisha mtoto kupata utapia