Posts

Showing posts from July 29, 2021
Image
Together Tunawakilisha Kijana ajiteka ili apate fedha za kulipia madeni  ALHAMISI , 29TH JUL , 2021 NA MWANDISHI WETU   Jeshi la Polisi Arusha linamshikilia Dickson Mungulu, aliyetuma ujumbe mfupi wa maneno (SMS) wa taarifa za uongo kwa ndugu zake kwamba ametekwa na waliomteka wanahitaji milioni 3 wamuachie huru la sivyo watamuuwa, kumbe fedha hizo alikuwa akizihitaji ili alipe madeni. Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo Taarifa hiyo imetolewa leo Julai 29, 2021, na Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo, ambapo amesema kuwa taarifa ya kijana huyo kutekwa ilitolewa Julai 25 kutoka kwa mmoja wa ndugu ambaye jina lake limehifadhiwa akieleza kuwa ndugu yao Dickson Mungulu, ametekwa. Mara baada ya taarifa hiyo jeshi la polisi lilifanya uchunguzi na kisha kumkamata kijana huyo aliyesadikika kupotea na baada ya mahojiano walibaini kwamba mwaka 2020 alimaliza Shahada ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Makumira kilichopo Arusha. Sambamba na hilo baada ya kumchunguza zaidi kati
Image
Viongozi wanaoenda kinyume na Rais Samia watahadharishwa CCM - "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na maadili ya Chama. "CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM," amesema Shaka Hamdu Shaka- Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi leo Julai 26, 2021. @ccmtanzania @shakazulu36 #MtanzaniaDigital mtanzanianews on Instagram  / mtanzanianews / 3 days ago Viongozi wanaoenda kinyume na Rais Samia watahadharishwa CCM - "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri
Image
Stendi ya Magufuli waweka vijana wa kutoa elimu ya Corona Mwananchi  /  5 hours ago Uongozi wa Standi ya Magufuli iliyopo Mbezi Dar es salaam imeandaa vijana kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu maambukizu ya Corona kwa kuwatangazia wananchi kuzingatia taratibu zote zilizotolewa na wataalamu wa afya. Visit website
Image
Saudi Arabia yatoa shehena ya tende kwa wakimbizi Tanzania Mwananchi  /  3 hours ago Ufalme wa Saudi Arabia umetoa tani 36 za tende kwa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) kwa lengo wa kuwagawia wakimbizi waishio nchini. Visit website

Kajara Masanja Na Paula Watangaza Soon Watazindua Kipindi Chao Muhmu

Image
Kajala na Paula Waanzisha Kipindi Kitakachorushwa Kwenye Runinga Bongo5Jun 10, 2021 Kupitia ukurasa wake wa Instagram @kajalafrida ameandika na kuutaarifu umma kuhusu ujio wa reality hiyo ambayo itamuhusisha yeye na binti yake @therealpaulahkajala #Mom and Daughter #LikeTwins ✅ Reality Show ambayo itakuwa inaonyesha maisha yao binafsi ingawa bado hajaweka wazi itakuwa inaruka Kupitia Tv gani (Kituo kipi) #Bongo5Updates              Kajala na Paula Waanzisha Kipindi Kitakachorushwa Kwenye Runinga Bongo5Jun 10, 2021 Kupitia ukurasa wake wa Instagram @kajalafrida ameandika na kuutaarifu umma kuhusu ujio wa reality hiyo ambayo itamuhusisha yeye na binti yake @therealpaulahkajala #Mom and Daughter #LikeTwins ✅ Reality Show ambayo itakuwa inaonyesha maisha yao binafsi ingawa bado hajaweka wazi itakuwa inaruka Kupitia Tv gani (Kituo kipi) #Bongo5Updates
Image
Dofu Media Mwananchi Michezo Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba THURSDAY JULY 29 2021           Summary Fausta Silayo (22) Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani  Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba. ADVERTISEMENT Rombo. Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani  Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba. Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma kwa ajili ya matibabu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamke huyo ambao amesema baada ya mwanaume huyo kufanya tukio hilo alikimbilia nchi jirani. "Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kumtafuta mtuhumiwa wa tukio hilo ambaye inasemekana amekimbilia nchi jirani ili kumkamata na kumchukulia hatua za kisheria,"amesema Kamanda Maigwa. Kamanda Maigwa amesema mwili wa

Haji Manara

Image
                                       Mwananchi Michezo Kilichomng’oa Manara Simba hiki hapa THURSDAY JULY 29 2021           ADVERTISEMENT By Mwandishi Wetu More by this Author MWISHO wa zama. Kama utani Haji Manara leo hii amebaki kuwa mwanachama na shabiki tu wa Simba, baada ya kupigwa chini na nafasi yake kupewa aliyekuwa ofisa habari na kaimu katibu mkuu wa klabu hiyo, Ezekiel Kamwaga. Simba jana ilitangaza mabadiliko yaliyotarajiwa baada ya mzozo ulioibuka siku chache kabla ya mechi ya fainali ya Kombe la ASFC kati ya timu hiyo na Yanga uliochezwa Jumapili iliyopita mjini Kigoma. Inaelezwa uhusiano usioridhisha na wanahabari, baadhi ya wadau wa soka na utovu wa nidhamu kwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ni sababu zilizochangia kwa kiasi kikubwa kumng’oa Manara ndani ya nafasi hiyo iliyompatia umaarufu mkubwa hasa dhidi ya Yanga. Licha ya kuvumiliwa kwa muda mrefu na klabu hiyo, kukithiri kwa migogoro ya mara kwa mara baina ya Manara na wanahabari za michezo katika siku