Posts

Showing posts from July 1, 2021

Kabla Sjaanza Kusema Nitoe Pongezi Kwa Alikiba Na Rudeboy Kwa Wimbo Mzuri Director Wa Tanzania Wana La Kujifunza Kutoka Kwa Hii Nyimbo Kwanza Nitoe Pongezi Kwa Director Aliye darect Video Hii ya Salute nimpigie Salute kutokana Na umahili wake hakika ameunda muvi Na imeundika kwa Nini nasema Haya‽ Kwanza utambue unapokuwa Director lazima uwe mbunifu Kwenye video ya Salute imeonyesha Kwamba Mwanaume Yuko vitani kupambana Akiwa amemuacha mwanamke wake nyumbani akimusubiri Mpaka Siku aliporudi na kuendeleza furaha akijaribu kufatiria namna story ilivyo pangwa basi utaungana na mimi Kwamba ma Director wa Tanzania wanapaswa Kujifunza Kwenye hii video namna yakupangilia matukio wanapo Shoot Siyo mtu Kwenye wimbo wa huzuni unaweka mtu anacheza kiukweli video ya Salute ni kali sana pengine kwa Sasa ingepewa tuzo ya video Bora kutokana na mpangilio wa Visa kuanzia mwanzo mpaka mwisho nampa Big Up Director pia mpaka sasa wimbo huo umetizamwa mara 1.2M ndani ya masaa 24 unaweza kuona ni Jinsi Gani ubora wa video unavyo shawishi watizamaji kurudia Kutizama mara kwa mara Directordofu

Image
  Kabla Sjaanza Kusema Nitoe Pongezi Kwa Alikiba Na Rudeboy Kwa Wimbo Mzuri  Director Wa Tanzania Wana La Kujifunza Kutoka Kwa Hii Nyimbo Kwanza Nitoe Pongezi Kwa Director Aliye darect Video Hii ya Salute nimpigie Salute kutokana Na umahili wake hakika ameunda muvi  Na imeundika kwa Nini nasema Haya‽ Kwanza utambue unapokuwa Director lazima uwe mbunifu Kwenye video ya Salute imeonyesha Kwamba Mwanaume Yuko vitani kupambana Akiwa amemuacha mwanamke wake nyumbani akimusubiri Mpaka Siku aliporudi na kuendeleza furaha akijaribu kufatiria namna story ilivyo pangwa basi utaungana na mimi Kwamba ma Director wa Tanzania wanapaswa Kujifunza Kwenye hii video namna yakupangilia matukio wanapo Shoot Siyo mtu Kwenye wimbo wa huzuni unaweka mtu anacheza  kiukweli video ya Salute ni kali sana pengine kwa Sasa ingepewa tuzo ya video Bora kutokana na mpangilio wa Visa kuanzia mwanzo mpaka mwisho nampa Big Up Director pia mpaka sasa wimbo huo umetizamwa mara 1.2M ndani ya masaa 24 unaweza kuona ni Ji