KUMEKUCHA RAis Samia Suluh Hasanii Apigilia Msumali Tozo Za Simu Dofu Media Jul27,2021

KUMEKUCHA: Rais Samia Apigilia Msumari Tozo za Simu BabaJul 27, 2021 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali inatarajia kupokea ripoti ya kamati maalum iliyoundwa baada ya malalamiko ya wananchi juu ya sheria ya tozo za maiamala ya simu kuanza kutumiak rasmi mapema mwezi huu Julai. Akizungumza Ikulu jijini Dar es salaam, Rais Samia amesema tozo hiyo ilipitishwa kwa nia njema ya kusaidia maendeleo ya maeneo yenye changamoto nchini mbalimbali nchini ikiwemo shida ya maji, na barabara kwa sehemu za vijijini. βHili la miamala ya simu za mikononi kutuma na kupok...