Posts

Showing posts from August 3, 2021

Wajanja Tushachukua Cards Za Kusapot Uzinduzi Wa G Twice Bado Najitafuta Bofya Hapa 👉👇

Image
          G TWICE ALBUM Bado Najitafuta

Mtaka: Hali si nzuri Dodoma, chukueni tahadhari dhidi ya Covid-19

Image
  Mwananchi Habari Zaidi Kitaifa Mtaka: Hali si nzuri Dodoma, chukueni tahadhari dhidi ya Covid-19 TUESDAY AUGUST 03 2021           Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka Summary Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo. ADVERTISEMENT By Sharon Sauwa More by this Author Dodoma . Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo. Ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 3, 2021 wakati akizungumza na askari wa usalama wa barabarani na viongozi wa masoko wa mkoa wa Dodoma. Amewataka askari hao, viongozi wa masoko na wafanyabiashara kuhakikisha wanachukua hatua za kujikinga katika maeneo yao kwa kuvaa barakoa na kunawa maji tiririka na sabuni au kutumia vitakasa mikono. Pia amewataka askari wa usalama wa barabarani kuhakikisha watu wote wanakaa kwenye viti (level seat) kwenye dalad