Posts

Showing posts from July 30, 2021

Teodoro Nguema Obiang Mangue: His son the president who loves Bugatti cars and Michael Jackson

Image
BBC News , Swahili Ruka hadi maelezo Yaliyomo Habari Michezo Video Vipindi vya Redio Teodoro Nguema Obiang Mangue: Mwanae rais anayependa magari ya Bugatti na Michael Jackson 29 Julai 2021 CHANZO CHA PICHA, AFP Kwa miaka mafanikio ya Teodoro "Teodorin" Nguema Obiang Mangue yaliwiana na mafanikio ya nchi yake Equatorial Guinea, kama ilivyopanda na kuboreka kama mzalishaji mkubwa wa mafuta katika Kusini mwa jangwa la Sahara Mtoto wa Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo anafurahia maisha yake ya kifahari huko California na Ufaransa. Maisha yake hayo mazuri ni tofauti kabisa na maisha ya wananchi wenzake wengi, ambao wanafaidika kwa kiasi kidogo na mapato yatokanayo na mafuta. Marais wa Afrika waliowarithi baba zao madarakani Mfahamu Floyd Mayweather Jr bondia anayeamini mwanaume anapaswa kuwa na wanawake wengi Mtindo wake wa maisha na matumizi yake yanatajwa kuhusishwa na ubadhirifu ambapo sasa Teodorin anakabiliwa na hatia ya makosa ya kiuhalifu nchini Ufaransa, vikwazo nchini Ui