BREAKING Babu Wa Loliondo Afariki Dunia DofuMedia


 BREAKING Babu Wa Loliondo Afariki Dunia

babaJul 30, 2021


Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso.


Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali akiwa amechelewa.


Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote.

https://youtu.be/__GQcyChmhg

Comments

Popular posts from this blog

Mwanamke Mmoja Regina Frednand (46) Mkazi Wa Mtaa wa Butiama kata ya sima kata ya Halmashauli ya mji Wa Bariadi amezua taharuki Baada ya kudai kuwa amejifungua Mnyama aina ya kalunguyeye DOFU MEDIA.COM Video Hii Hapa Tazama Maajabu

Mtaka: Hali si nzuri Dodoma, chukueni tahadhari dhidi ya Covid-19