BREAKING Babu Wa Loliondo Afariki Dunia babaJul 30, 2021

BREAKING Babu Wa Loliondo Afariki Dunia
babaJul 30, 2021






Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso.

Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali akiwa amechelewa.

Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote.

Comments

Popular posts from this blog

Mtaka: Hali si nzuri Dodoma, chukueni tahadhari dhidi ya Covid-19

ZaidiKitaifa VIDEO: DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao