Skip to main content

𝐃𝐢𝐚𝐦𝐨𝐧𝐝 𝐏𝐥𝐚𝐭𝐢𝐧𝐮𝐦𝐳

 Homepage

Habari za moja kwa moja


SHARED
Je Diamond Platnumzni ni Bill Gates ajaye?
WASAFICopyright: wasafiArticle share toolsShare this post

  1. Diamond Platinumz alikuwa tu amethibitisha kupokea gari lake aina ya Rolls Royce jipya kabisa, wakati BBC ikiongea naye - ni la rangi ya Cullinan buluu, toeo la hivi karibuni.

    Ni ya kwanza ya aina yake nchini Tanzania na wakati Diamond alipoichukua katika safari yake ya kwanza, hebu fikiria kilichotokea.

    “Kwangu mimi sio tu gari langu, ni gari letu. Yeyote aliyeniunga mkono, tusherehekee mafanikio yetu, ” Diamond alisema.

    Diamond alishindwa kupata tuzo za BET huko Marekani hivi karibuni na Burna Boy akaichukua, lakini picha ya msanii huyu wa Tanzania ndio iliyokuwa imesambaa kila mahali kwasababu ya mavazi yake ya jadi ya Kimasai.

    Nchini Marekani pia alikuwa akirekodi albamu mpya ambayo mtayarishaji mkuu ni Mmarekani na amewashirikisha wasanii wa Marekani.

    Alichapisha picha kwenye mitandao yake ya kijamii akiwa na Busta Rhymes, Swizz Beats na Diddy, miongoni mwa wengine.

    Hata hivyo, sio kila mtu alikuwa akimuunga mkono Diamond katika safari yake ya Marekani.

    Baadhi ya watu kutoka nchi yake walisema hakustahili uteuzi wa BET kwasababu ya kumuunga mkono kwake bila sababu Rais wa zamani wa Tanzania John Pombe Magufuli.

    lakini Diamond hafadhaishwi na wakosoaji wake na anasema "hachukulii hilo kibinafsi".

    Diamond aliombwa kusimama kama mbunge lakini akasema "hiyo sio fani yake".

    Sasa basi, Diamond anajiona akiwa wapi katika kipindi cha miaka 10 ijayo?

    "Siku zote nilitaka kudhibitisha jambo kwa vijana wa Kiafrika, kwamba unaweza kutumia muziki kwa njia nzuri sana, ukatumia muziki kuajiri watu zaidi, na kuwa mmoja wa watu matajiri zaidi ulimwenguni - kama Jeff Bezos au Bill Gates", alisema.

    Kwa hiyo, Diamond atakuwa anasafiri kwenda anga la mbali?

    Au kutumia pesa zake kwa sababu anazoziamini?

    Je! Atakuwa Jeff Bezos au Bill Gates?

    “Sio mmoja wao bali atakuwa bora kuliko wao!"

    “Sioni nikisafiri kwenda mwezini kwasababu ninaogopa kusafiri kwenye anga. Lakini nitawawezesha vijana. Kinachonifurahisha ni kusikia mtu akisema ni kwasababu ya Diamond ndio leo nimefika hapa, ”alisema.

  2. Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC) imeondoa hati ya kukamatwa kwa mke wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Simone Gbagbo.

    Alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu uliofanywa wakati wa mzozo wa baada ya uchaguzi nchini humo mwaka 2010- 2011, baada ya mumewe kukataa kukabidhi madaraka kwa Alassane Ouattara, ambaye alishinda uchaguzi wa mwaka 2010.

    ICC ilisema "ushahidi ambao hati ya kukamatwa kwa Simone Gbagbo ilitegemea haingeweza kuzingatiwa tena kuwa ya kutosha.

    Hati hii, kwa hivyo ilionekana kuwa isiyofaa na haiwezi kutumika tena"Mnamo mwezi Machi, mahakama ilimwachilia huru Laurent Gbagbo aliyekuwa amekamatwa Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu na akarejea nchini Ivory Coast mnamo Juni 17.

    Rais huyo wa zamani na Rais Ouattara walikutana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha muongo mmoja, Jumanne.Bwana Gbagbo aliwasilisha talaka dhidi ya aliyekuwa Mke wake Simone mnamo mwezi Juni.

  3. Mkuu wa shirika la misaada la Marekani (USAID) Samantha Power wiki ijayo atatembelea Ethiopia kushinikiza misaada zaidi kuruhusiwa katika eneo lililokumbwa na mizozo la Tigray, shirika hilo linasema.

    Bi Power atakutana na maafisa wa serikali kutafuta suluhisho la ukosefu wa misaada ya kibinadamu kwa wale walioathiriwa na mzozo uliodumu kwa miezi tisa.Siku ya Alhamisi, mkuu wa misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths alianza ziara yake nchini humo kwa msukumo kama huo.Alisema kuwa mahitaji ya kibinadamu nchini Ethiopia yameongezeka kwasababu ya mzozo na mapigano ya kikabila katika maeneo mengine.

    Shirika la Chakula Duniani la UN limesema kuwa wasambazaji wake wa misaada hiyo wanakaribia kuishiwa kwa kuwa malori hayangeweza kuingia katika eneo la kaskazini kwasababu ya mapigano.Aidha, kilikuwa na shambulio dhidi ya msafara wa shirika hilo mapema mwezi huu.Mamia ya maelfu ya watu huko Tigray wanaishi katika hali kama ya kukumbwa na baa la njaa.

    Mgogoro wa Tigray-Ethiopia: Baa la njaa lililosababishwa na binadamu

    Mzozo wa Tigray: Msaada mkubwa wa kibinadamu unahitajika

  4. Baadhi ya vilabu vya usiku huko England vimeanza kuhitaji pasi ya kuonesha hali ya mtu ya corona ili kuingia huku wabunge wakijadili matumizi ya pasi hizo.

    Pasi hizo za Covid zilizoidhinishwa na wizara ya afya zinaruhusu watumiaji kuonyesha uthibitisho wa chanjo waliopata, vipimo walivyofanyiwa au hali ya kinga yao mwilini wanapotaka kuingia kwenye kumbi.

    Pasi hizo zinapatikana kupitia programu ya kwenye simu kutoka wizara ya afya Uingereza, ambayo ni tofauti na programu ya Covid-19 huko England na Wales.Mawaziri walikuwa wameombwa kufutilia mbali pasi hizo au watoe fursa kwa wabunge kijadili suala hilo bungeni.

    Msemaji wa maswala ya ndani ya nchi wa chama cha Liberal Democrat Alistair Carmichael aliwashutumu mawaziri kwa kutoa hakikisho la matumizi ya pasi hizo."Sasa tuna kitambulisho kipya kilichopo kwenye simu zetu bila hata kunongona, kutoka kwa serikali", alisema.

    Waziri Mkuu Boris Johnson alitangaza mapema mwezi huu kwamba watu wanaohudhuria vilabu vya usiku na kumbi zingine kubwa ambapo umati wa watu hukusanyika watahitajika kupatiwa chanjo kamili kuanzia mwisho wa mwezi Septemba.

    Wamiliki wengine wa vilabu vya usiku hapo awali waliambia BBC kwamba pasi hizo za Covid zilikuwa "hazitekelezeki" na kwamba hawatazihitaji.

  5. Kwenye Olimpiki za Tokyo, Afrika Kusini imekuwa na mshindi wake wa kwanza wa medali ya dhahabu katika kuogelea kwa kipindi cha miaka 25.

    Tatjana Schoenmaker aliweka rekodi mpya ya dunia katika fainali ya wanawake ya mita mia 200.Yeye ndiye mwanamke wa kwanza kuogelea chini ya muda was dakika 2 na sekunde 19.

    Jumanne, alishinda fedha katika mbio za mita 100.Ushindi wake wa mita 100 ulikuwa wa kwanza na muogeleaji wa kike kutoka Afrika Kusini katika kipindi cha miaka 21.

    Schoenmaker alisema ana matumaini ushindi wake utaleta furaha nyumbani baada ya siku za vurugu.Afrika Kusini ilishuhudia maandamano ya vurugu kwa wiki kadhaa na uporaji wa mali uliosababisha zaidi ya watu 300 kufariki dunia na kupotea kwa mali yenye thamani ya mabilioni ya pesa.

    How can you breastfeed your baby and also participate in the Olympics?

    Tokyo 2020 Olympics: African athletes looking to do better

  6. Nigerian police say they have received 'allegations and charges' from the US Federal Bureau of Investigation (FBI) against a senior police officer.

    A statement from police spokesman Frank Mbah did not elaborate on the allegations against Deputy Police Commissioner Abba Kyari, but said they ordered an internal investigation into the officer following the receipt of the prosecution processes.

    Bw Kyari - ambaye ni polisi anayesifika nchini Nigeria kwa juhudi zake katika kuongoza mapambano dhidi ya uhalifu - ameripotiwa sana kuhusishwa na kesi ya ulaghai na utapeli wa pesa dhidi ya mshawishi wa mitandao ya kijamii wa Nigeria Ramon Abbas - anayejulikana pia kama Hushpuppi.

    Nyaraka za korti zilizowasilishwa katika korti ya Marekani a zilisema uhalifu wa Hushpuppi uliwagharimu wahasiriwa wake karibu $ 24m (£ 17m) kwa jumla na amekiri mashtaka ya utapeli wa pesa.

    But Mr Kyari has denied involvement in fraud or corruption in collaboration with the 37-year-old Hushpuppi, describing the allegations as "false" and saying his hands are "clean."

    On Thursday, Nigerian police said they were committed to "'pursuing justice" and strengthening its ties with international partners.

  7. Philippine President Rodrigo Duterte has warned citizens not to be vaccinated against Corona to stay in their homes.

    He said his country has taken steps to vaccinate those who want to receive the vaccine, adding that those who do not want to be vaccinated if they die then he does not care.

    He said citizens who refuse vaccinations are a threat to the country because they will be the mobile distributors of the virus. In a speech to his country Duterte has said;

    'For those people who do not want to be vaccinated I tell you not to leave your home. If you leave your home, I will tell the police to take you back inside.

    You will be escorted back because you are a mobile distributor of the virus…

    Corona virus: How the 'vaccinated unprotected population' is facing the United States

    What do Tanzanians think about receiving the Corona vaccine?

  8. Kenya imesaini makubaliano na Uingereza ambayo yatawaruhusu wauguzi wake wasio na kazi na wahudumu wengine wa afya kufanya kazi nchini Uingereza.

    Waziri wa Afya wa Uingereza Sajid Javid na Waziri wa Kazi wa Kenya Simon Chelugi walitia saini makubaliano hayo hapo jana katika siku ya tatu ya ziara ya Rais Uhuru Kenyatta huko London.

    Mpango huo uko wazi kwa wafanyikazi wa afya wa Kenya ambao wamehitimu lakini hawana kazi, kuhakikisha mchakato huo unaifaidiKenya , kulingana na taarifa kutoka kwa serikali ya Uingereza.

    Mpangilio huu uliombwa na Kenya na Unapaswa kuruhusu wataalamu na wasimamizi wa afya kufaidika na njia maalum kupitia mfumo wa uhamiaji wa Uingereza, kabla ya kurudi kazini katika sekta ya afya ya Kenya.

    Maelezo kamili yanapaswa kuthibitishwa kabla ya mwisho wa Oktoba.Chama cha madaktari nchini Kenya katika miaka ya hivi karibuni kimeibua wasiwasi kuhusu kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kati ya madaktari na wauguzi nchini humo.

    Makubaliano na Uingereza yanaweza kuwavutia wafanyikazi wengi wa huduma ya afya nchini Kenya kwani wamekuwa wakilalamikia hali mbaya ya kufanya kazi, malipo duni na hata kufanya kazi kwa miezi bila malipo.

    Lakini kuna hofu kwamba hatuahiyo inaweza kuwahamisha wafanyikazi wengikutorokea Uingereza Hivi sasa kuna karibu Wakenya 900 wanaofanya kazi katika Huduma ya Kitaifa ya Afya ya Uingereza katika nafasi mbali mbali , kulingana na mamlaka za Uingereza.

    Nchi hizo mbili pia zimezindua Muungano wa Afya wa Kenya na Uingereza ambao utaongeza utafiti na ushirikiano kati ya Uingereza na vyuo vikuu vya Kenya na hospitali za mafunzo.Ushirikiano wa kwanza utasaidia kuboresha matibabu ya saratani nchini.

Comments

Popular posts from this blog

Mtaka: Hali si nzuri Dodoma, chukueni tahadhari dhidi ya Covid-19

ZaidiKitaifa VIDEO: DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao