Stendi ya Magufuli waweka vijana wa kutoa elimu ya Corona

Mwananchi / 5 hours ago


Uongozi wa Standi ya Magufuli iliyopo Mbezi Dar es salaam imeandaa vijana kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu maambukizu ya Corona kwa kuwatangazia wananchi kuzingatia taratibu zote zilizotolewa na wataalamu wa afya.

Visit website

Comments

Popular posts from this blog

Mtaka: Hali si nzuri Dodoma, chukueni tahadhari dhidi ya Covid-19

ZaidiKitaifa VIDEO: DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao