Viongozi wanaoenda kinyume na Rais Samia watahadharishwa CCM - "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na maadili ya Chama. "CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM," amesema Shaka Hamdu Shaka- Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi leo Julai 26, 2021. @ccmtanzania @shakazulu36 #MtanzaniaDigital

mtanzanianews on Instagram / mtanzanianews / 3 days ago


Viongozi wanaoenda kinyume na Rais Samia watahadharishwa CCM

-

"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na maadili ya Chama.

"CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM," amesema Shaka Hamdu Shaka-

Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi leo Julai 26, 2021.

@ccmtanzania

@shakazulu36

#MtanzaniaDigital

Rate Gazeti Lite

Visit website

Comments

Popular posts from this blog

Mtaka: Hali si nzuri Dodoma, chukueni tahadhari dhidi ya Covid-19

ZaidiKitaifa VIDEO: DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao