AJABU LA DUNIA MAMA AJIFUNGUA KALUNGUYEYE NIMESIKIA UCHUNGU KIMETOKA NA DAMU KAMA UZAZI ULIVYO Mwanamke Mmoja Regina Frednand (46) Mkazi Wa Mtaa wa Butiama kata ya sima kata ya Halmashauli ya mji Wa Bariadi amezua taharuki Baada ya kudai kuwa amejifungua Mnyama aina ya kalunguyeye
Ngoma ziippoo pooa
ReplyDeleteKaza dogo usife moyo
ReplyDelete