Posts

Showing posts from July, 2021

Rayvanny, Paula Wala Kiapo Cha Kifo GlobalPublishersJul 31, 2021

Image
 Rayvanny, Paula Wala Kiapo Cha Kifo GlobalPublishersJul 31, 2021 SUPASTAA wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa au Rayvanny na mpenzi wake mpya, Paula Paul au Paula Kajala, hawapoi; kila kukicha wana jambo na safari hii habari za ndani zimeeleza kwamba, wamekula kiapo cha kupendana hadi kifo kiwatenganishe, IJUMAA limeelezwa. Mbali na kusema waziwazi kuwa, wanapendana na kuoneshana kwa kuvaa nguo saresare, siri imevuja juu ya wawili hao kujipa majina ya Bonnie na Clyde. Kitendo cha kujiita majina hayo kimeibua kisa cha miaka mingi iliyopita cha kusisimua cha wapenzi, Bonnie (binti mrembo) na Clyde (kijana ‘handsome’) ambao walipendana hadi walipouawa kwa pamoja wakiwa na umri mdogo na majina yao yameendelea kuandikwa, kutamkwa na kutazamwa. Hicho ndicho wanachokitamani Rayvanny au Chui na Paula ambao wameapa kupendana hadi wafe pamoja kama Bonnie na Clyde. Kupitia Gazeti la IJUMAA unapata kufahamu kwamba, Bonnie na Clyde ni kisa cha kihistoria cha kusisimua mno kuhusu penzi lao, walivyoshi

Askofu Gwajima Arudisha Ujumbe Mzito Kwa Rais Samia Suluh Hasani Mtakufa Na Waziri Wako Wajinga Nyinyi

Image
 ASKOFU GWAJIMA AMTUKANA RAIS SAMIA SULUH HASAN NA WAZIRI MKUU KASIM MAJARIWA KWA KUHUSU CHANJO TAZAMA HII VIDEO 👉👇👇👇 https://youtu.be/WQlbsJ1g4AI

Mmiliki wa Peacock Hotel afariki dunia SATURDAY JULY 31 2021

Image
  Mwananchi Habari Zaidi Kitaifa Mmiliki wa Peacock Hotel afariki dunia SATURDAY JULY 31 2021           Summary Mmiliki wa hotel ya Peacock hotel, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. ADVERTISEMENT By Mwandishi Wetu More by this Author Dar es Salaam.  Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa hizo alisema hawezi kuzungumzia. Hata hivyo, mmoja wa ndugu zake ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini kwa kuwa si msemaji wa familia, anasema Mfugale amefariki le Julai 31 asubuhi na msiba uko nyumbani kwake Kibamba Dar es Salaam. “Ni kweli kaka amefariki leo asubuhi. Alikuwa anaumwa, muda mrefu, lakini swali kwamba alikuwa anaumwa nini ni la kifamilia,” alisema ndugu huyo. Mfugale ni miongoni mwa wamiliki wa hoteli wazawa aliyepata mafanikio katika biashara hiyo, akifungua hotel Dar es Salaam na nyingine mkoani Iringa. ADV

CHADEMA Wapiga kwenye Mshono Watuma Ujumbe Kwa Rais Samia ShangaziJul 31, 2021

Image
 CHADEMA Wapiga kwenye Mshono Watuma Ujumbe Kwa Rais Samia ShangaziJul 31, 2021            Chama cha demokrasia na maendeleo kimeathimia kuendelea na makungamano ya kudai katiba nchi nzima baada ya vikao kadhaa vya kamati kuu ya chama hicho. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam katibu mkuu wa chama hicho John Mnyika amesema kwa atakayepinga makungamano hayo kwa nguvu atakutana na vitendo. "Makongamano ya kudai Katiba ni haki yetu kikatiba na ni haki yetu kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa hivyo yataendelea kufanyika. Hivyo tutatangaza ratiba ya makongamano hayo baada ya Agosti 05, 2021" amesema Mnyika Mbali na kuendelea kwa makungamano hayo poa chadema imetangaza kufanyika kwa maandamano ya amani siku ya Agosti 5 ili kushinikiza serikali kumfutia mashtaka mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambaye ameshikiliwa kwa mashitaka ya ugaidi.

Chanzo Kifo Cha Babu wa Loliondo Chatajwa MwananchiJul 31, 2021

Image
                                 Chanzo Kifo Cha Babu wa Loliondo Chatajwa MwananchiJul 31, 2021 Summary Chanzo cha kifo cha Mchungaji Ambilikile Mwasapile(86) kimetajwa aliugua nimonia kali ambayo ilimsababisha kupata tatizo la upumuaji na na homa. Arusha. Chanzo cha kifo cha Mchungaji Ambilikile Mwasapile (86) kimetajwa aliugua nimonia kali ambayo ilimsababisha kupata tatizo la upumuaji na homa. Tangu afariki wasaidizi wake na majirani wamekuwa wakieleza kushtushwa na kifo hicho ambacho kimetokea akiwa anaendelea kutoa huduma ya tiba ya kikombe aliyoanza tangu mwaka 2011. Mchungaji Ambilikile ambaye ataendelea kukumbukwa kwa kuvutia maelfu ya watu ndani na nje ya nchi kati ya mwaka 2011 hadi 2013 kutokana na tiba yake ya kikombe alifariki jana saa 9:45 jioni. Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mangwala amesema kuwa taarifa za awali za madaktari zinaeleza chanzo cha kifo ni nimonia ambapo kwa takriban siku tano alikuwa anaumwa na kupata sindano za masaa. "Jana asubuhi aliamka

TARIFA YA HABARI KUTOKA SIMIYU MJINI

Image
                         Simiyu Regional Administrative Secretary Ms. Prisca Kayombo today led civil servants in a physical exercise held at the Bariadi Town Council Stadium while appealing to the people of Bariadi and civil servants to turn out in large numbers on Saturdays to participate in the exercise which contributes to the reduction of various diseases including measles. 19                  

Kisa Chanjo Gwajima Kufukuzwa CCM? babaJul 31, 2021

Image
                                Kisa Chanjo Gwajima Kufukuzwa CCM? babaJul 31, 2021 Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu mbunge wa Kawe (CCM) Askofu Josephat Gwajima kudai kuwa watu waohimiza chanjo ya corona hawana nia njema na watanzania msimamo unapingana na chama chake cha siasa CCM ambacho kimehaidi kuwachukulia hatua kali wanachama wake wote wanaokwenda kinyume na msimamo wa chama. Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha kamati kuu ya chama hicho imeweka wazi kuwa chama kitachukua hatua kali dhidi ya wafuasi wake wanaopinga uamuzi wa chama hicho. Kwa mujibu wa katiba ya CCM mwanachama anaweza kufukuzwa uwanachama iwapo atakiua kanuni na taratibu za chama hicho na kukutwa na makosa hayo na kikao cha kamati kuu. Ikumbukwe kuwa siku kadhaa baada ya Gwajima kutoa kauli hiyo juu ya chanjo ya corona katibu mwenezi wa CCM Shaka Hamdu Shaka alijitokeza hadharani na kumuonya juu ya matamshi yake. Unadhani CCM inaweza kufukuza uwanachama mbunge huyo kama atakutwa na makosa ya kukiuka kat