CHADEMA Wapiga kwenye Mshono Watuma Ujumbe Kwa Rais Samia ShangaziJul 31, 2021

 CHADEMA Wapiga kwenye Mshono Watuma Ujumbe Kwa Rais Samia

ShangaziJul 31, 2021

          


Chama cha demokrasia na maendeleo kimeathimia kuendelea na makungamano ya kudai katiba nchi nzima baada ya vikao kadhaa vya kamati kuu ya chama hicho.


Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam katibu mkuu wa chama hicho John Mnyika amesema kwa atakayepinga makungamano hayo kwa nguvu atakutana na vitendo.



"Makongamano ya kudai Katiba ni haki yetu kikatiba na ni haki yetu kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa hivyo yataendelea kufanyika. Hivyo tutatangaza ratiba ya makongamano hayo baada ya Agosti 05, 2021" amesema Mnyika


Mbali na kuendelea kwa makungamano hayo poa chadema imetangaza kufanyika kwa maandamano ya amani siku ya Agosti 5 ili kushinikiza serikali kumfutia mashtaka mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambaye ameshikiliwa kwa mashitaka ya ugaidi.



Comments

Popular posts from this blog

Mtaka: Hali si nzuri Dodoma, chukueni tahadhari dhidi ya Covid-19

ZaidiKitaifa VIDEO: DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao